Jürgen Klopp

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kocha Jurgen klopp akiwa Liverpool

Jürgen Norbert Klopp (alizaliwa 16 Juni 1967) ni mwalimu wa soka wa Ujerumani na mchezaji wa zamani ambaye sasa ni meneja wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC.

Klopp anajulikana kwa kupanua falsafa ya mpira wa miguu inayojulikana kama Gegenpressing na anachukuliwa na wengi kama mmoja wa mameneja bora duniani.

Pia alicheza na kufundisha klabu ya FSV Mainz 05, na baadaye akaweza kufundisha Borussia Dortmund mwaka 2008 hadi 2015.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jürgen Klopp kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.