Iwi
Mandhari
Iwi (pia: Iwig, Iwigius, Ywi; Britania, Karne ya 7 – Bretagne[1] , 704 hivi) alikuwa mmonaki shemasi, mwanafunzi wa Cuthbert wa Lindisfarne[2], ambaye alivuka bahari na kuishi kaskazini magharibi mwa Ufaransa wa leo, akikesha katika sala na kufunga, pamoja na kuinjilisha eneo hilo[3][4].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, hasa tarehe 6 Oktoba [5].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Blair, "Saints", p. 541
- ↑ de G. Birch, "Ivy-Church", p. 83
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/91497
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/99944
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Blair, John (2002), "A Handlist of Anglo-Saxon Saints", katika Thacker, Alan; Sharpe, Richard (whr.), Local Saints and Local Churches in the Early Medieval West, Oxford: Oxford University Press, ku. 495–565, ISBN 0-19-820394-2
- Dumville, D. N. (1992), Liturgy and the Ecclesiastical History of late Anglo-Saxon England: Four Studies, Woodbridge: Boydell Press, ISBN 0-85115-331-3
- de G. Birch, W. (1896), "Ivy-Church", Wiltshire Notes and Queries: An Illustrated Quarterly Antiquarian and Genealogical Magazine, Volume I, Devizes G. Simpson, uk. 83
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |