Ingrid Mwangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ingride mwangi)

Ingrid Mwangi (alizaliwa Nairobi, 1975) ni mwandishi wa Kenya na Ujerumani. Alihudhuria Hochschule der Bildenden Künste Saar huko Saarbrücken, Ujerumani mwaka 19962002. Anafanya kazi ya kupiga picha, uchongaji, sanaa ya usindikaji.

Maisha na kazi[hariri | hariri chanzo]

Ingrid Njeri Mwangi alizaliwa na mama Mjerumani huku baba yake ni Mkenya.[1] Alihamia Ujerumani akiwa na umri wa miaka 15, Mwangi anafanya kazi na kuishi katika jiji la Berlin pamoja na mume wake .[2]

Kazi ya Mwangi ilijikita kwenye kuibadilisha jamii hasa katika uhalisia wao. Mwaka 2007alishiriki Brooklyn Museum kwenye maonyesho yaitwayo  Global Feminisms. Mfululizo wake wa picha mnamo mwaka 2001, Static Drift, ulihusisha matumizi ya picha kuibua utambulisho wa kitaifa na wa rangi uliojitokeza kwenye mwili wake.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. ""Chameleon," Ingrid Mwangi Robert Hutter". Spelman College Museum of Fine Art. Oktoba 2013. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Ingrid Mwangi with Robert Hutter". Australian Centre for the Moving Image. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 5 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 30 Julai 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ingrid Mwangi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.