Ingrid Mwangi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ingrid Mwangi (alizaliwa Nairobi, 1975) ni mwandishi wa Kenya na Ujerumani. Alihudhuria Hochschule der Bildenden Künste Saar huko Saarbrücken, Ujerumani mwaka 19962002. Anafanya kazi ya kupiga picha, uchongaji, sanaa ya usindikaji.

Maisha na kazi[hariri | hariri chanzo]

Ingrid Njeri Mwangi alizaliwa na mama Mjerumani huku baba yake ni Mkenya.[1] Alihamia Ujerumani akiwa na umri wa miaka 15S, Mwangi anafanya kazi na kuishi katika jiji la Berlin pamoja na mume wake .[2]

Kazi ya Mwangi ilijikita kwenye kuibadilisha jamii hasa katika uhalisia wao. Mwaka 2007alishiriki Brooklyn Museum kwenye maonyesho yaitwayo  Global Feminisms. Mfululizo wake wa picha mnamo mwaka 2001, Static Drift, ulihusisha matumizi ya picha kuibua utambulisho wa kitaifa na wa rangi uliojitokeza kwenye mwili wake.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "Chameleon," Ingrid Mwangi Robert Hutter. Spelman College Museum of Fine Art (October 2013). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
  2. Ingrid Mwangi with Robert Hutter. Australian Centre for the Moving Image. Jalada kutoka ya awali juu ya 5 March 2016. Iliwekwa mnamo 30 July 2014.