Nenda kwa yaliyomo

Imatong (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Imatong State
Mahali paImatong State
Mahali paImatong State
Mahali pa Imatong katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Torit[1]
Idadi ya kaunti 12
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Patrick Raphael
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014)
 - Wakazi kwa ujumla 598,190

Imatong State ilikuwa mojawapo kati ya majimbo 32 yaliyounda Sudan Kusini.

Iligawanyika katika kaunti 12:

KauntiKaunti
ya awali
Ayaci CountyMagwi
Geria CountyIkotos
Ikwoto CountyIkotos
Imehejek CountyLopa
Kidepo Valley CountyIkotos
Lafon CountyLafon/Lopa
Lopit West CountyLopa
Magwi CountyMagwi
Pageri CountyMagwi
Torit CountyTorit
Torit East CountyTorit
Torit West CountyTorit
  1. "Imatong: Speaker And Deputy Elected, Commissioners, Administrators Sworn In". Gurtong. 4 Machi 2016. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-12. Iliwekwa mnamo 14 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Imatong (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.