Bahr el-Ghazal

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bahr el-Ghazal ni kanda la Sudan Kusini linalojumuisha majimbo ya Bahr al-Ghazal Magharibi, Bahr al-Ghazal Kaskazini, Warab na Maziwa, mbali ya eneo la pekee la Abyei. Hadi uhuru wa Sudan Kusini mwaka 2010 ilikuwa mkoa wa Sudan.

Uko kaskazini magharibi mwa nchi na kukaliwa hasa na Wadinka.

Kwa jumla ni kilometa mraba 210,786 zenye wakazi 4,297,000 hivi (2014)

Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bahr el-Ghazal kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.