Bahr al-Ghazal Kaskazini
Mandhari

Bahr al Ghazal Kaskazini lilikuwa jimbo la Sudan. Kwa sasa ni jimbo la Sudan Kusini.

Ina eneo la km2 30,543. [1][2]
Usimamizi
[hariri | hariri chanzo]Bahr al Ghazal ya Kaskazini, kama majimbo mengine nchini Sudan Kusini, imegawanywa katika kaunti; kuna kaunti tano, zinazoongozwa na Kamishna wa Kaunti.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Northern Bahr El Ghazal". South Sudan Disarmament, Demobilisation and Reintegration Commission. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-14. Iliwekwa mnamo 2011-07-08.
{{cite news}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help) - ↑ 2008 South Sudan Population Ma By County
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Bahr al-Ghazal Kaskazini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |