Patrick Raphael

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Patrick Raphael ni gavana wa jimbo la Gbudwe, katika nchi ya Sudani Kusini, tangu tarehe 24 Disemba 2015.[1] Ni gavana wa kwanza katika jimbo hilo ambalo liliteuliwa kuwa jimbo na rais Salva Kiir Mayardit mnamo tarehe 2 Oktoba 2015.[2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "South Sudan's President appoints 28 Governors, defies peace agreement", South Sudan News Agency, 24 December 2015. Archived from the original on 2 February 2016. 
  2. "Kiir and Makuei want 28 states in South Sudan", Radio Tamazuj. Archived from the original on 2015-12-08. 
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrick Raphael kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.