Ibrahim Amadou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ibrahim Amadou

Ibrahim Amadou (alizaliwa 6 Aprili 1993) ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza katika klabu ya Hispania Sevilla FC kama beki wa kati. Pia anacheza kama kiungo wa kujiHami katika klabu hiyo.

Kazi ya Klabu[hariri | hariri chanzo]

Nancy[hariri | hariri chanzo]

Amadou alizaliwa Douala, Cameroon, alihamia Ufaransa akiwa na umri wa miaka 4 na aliishi Colombe, ambapo alicheza katika klabu ya ndani iitwayo AS Cheminots de l'Ouest. Baadaye alicheza miaka minne kwenye Mashindano ya Club Ufaransa, kabla ya kujiunga na klabu ya AS Nancy mwaka 2008.

Sevilla[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 2 Julai 2018, Amadou alijiunga Hispania upande wa La Liga katika klabu ya Sevilla FC kwa mkataba wa miaka minne (4).

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ibrahim Amadou kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.