Hala Fouad

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hala Fouad
Amezaliwa Hala Ahmed Fouad
26 Mei 1958
Amekufa 10 Mei 1993
Cairo, Misri
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1960-1993
Ndoa Ahmed Zaki, Ezzeddine Barakat
Watoto Wawili akiwemo Haitham Ahmed Zaki

Hala Ahmed Fouad (26 Machi 1958 - 10 Mei 1993) alikuwa mwigizaji wa filamu na televisheni wa Misri ambaye alifanya kazi zaidi katika sinema ya Misri. [1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Alihitimu kutoka kitivo cha biashara mnamo mwaka 1979. Baba yake Ahmed Fouad alikuwa mtengenezaji wa filamu. Aliolewa na mwigizaji mkongwe Ahmed Zaki mnamo mwaka wa 1984. Mwanawe wa kwanza Haitham Ahmed Zaki pia alikuwa mwigizaji wa filamu ambaye alifariki tarehe 7 Novemba 2019. [2] Baadaye, aliolewa na Ezzeddine Barakat na kupata mtoto mwingine wa kiume, Rami [3]

Hala alikufa tarehe 10 Mei 1993, pia akiwa na umri wa miaka 35 baada ya kupambana na saratani ya matiti. [4]

Filamu[hariri | hariri chanzo]


Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Marejeleo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hala Fouad kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.