Hadrissa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Harissa (kwa kiarabu: هريسة harīsa, kutokea kiarabu cha Maghrebi) ni pilipili yamoto iliyoandaliwa kwa kupikwa inayoutumika sana na watu wa Maghreb. Viungo vinavyotumika ni pilipili hoho, hoho za baklouti (بقلوطي), mitishamba kama kitunguu saumu, mbegu za kisibiti, giligilani, jira, mafuta ya mzeituni.[1] Harissa pia hutengenezwa kwa petali za maua.[2]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]