Nenda kwa yaliyomo

Abeli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Habili)
Sanamu ya marumaru kwenye Kanisa kuu la Milano inayoonyesha Kaini alivyomuua Abeli.
Kaini akimuua Abeli, kadiri ya mchoro mdogo wa karne XV.

Abeli au Habili ni jina la mtu anayetajwa na Biblia kama mwana wa pili wa Adamu na Eva na kama binadamu wa kwanza kufa, akiwa ameuawa na kaka yake Kaini kwa kijicho.

Habari hizo zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo (4:2-8), lakini Abeli alitajwa pia na Yesu kama mfiadini wa kwanza (Math 23:35).

Kurani inasimulia habari hiyo bila kumtaja Abeli (5:27-31).

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abeli kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.