Gbudwe (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Gbudwe State
Mahali pa Gbudwe katika Sudan Kusini
Mahali pa Gbudwe katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Yambio
Idadi ya kaunti 13
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Patrick Raphael

Gbudwe State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 13: Mopoi County, Ri-Yubu County, Naandi County, Bangazagino County, Basukangbi County, Sakure County, Bangasu County, Nzara County, Ezo County, Tombura County, Nagero County na Yambio County.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Gbudwe (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.