Nenda kwa yaliyomo

Gastone Mojaisky Perrelli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gastone Mojaisky Perrelli

Gastone Mojaisky Perrelli (alizaliwa Gastone Mojaisky, 6 Agosti 19145 Machi 2008) alikuwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.

Alitumikia kama Nunsio nchini Kongo na Ruanda-Urundi, na baadaye katika Afrika ya Mashariki ya Kiingereza na Afrika Magharibi ya Kiingereza, wakati huo akiwa na cheo cha Askofu Mkuu wa jimbojina la Amida.

Baadaye, alihudumu kama Askofu Mkuu wa Nusco na Askofu Mkuu wa Conza-Sant'Angelo dei Lombardi-Bisaccia.[1]

  1. Jelardi, Andrea. "Gastone Moiajsky Perrelli, l'arcivescovo che girò il mondo", Den, April 2008. (it) 
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.