Jimbojina
Mandhari
Jimbojina (kwa Kilatini: "diocesis titularis") ni dayosisi ya zamani ya Kanisa Katoliki ambayo kwa sasa imefutwa isiwe na eneo wala watu, lakini kumbukumbu yake inatunzwa hai kwa kuichagulia askofu asiye mkuu wa jimbo lolote[1]. Huyo haishi huko wala hana mamlaka yoyote juu ya eneo la zamani la jimbo hilo[2].
Utaratibu huo ulianza mwaka 1514. Mara chache unafuatwa na Waorthodoksi pia[3].
Annuario Pontificio inatoa orodha ya majimbojina yote ya Kanisa Katoliki[4].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ This article incorporates text from a publication now in the public domain: Boudinhon, Auguste (1910). "In Partibus Infidelium". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 8. Robert Appleton Company.
- ↑ "Code of Canon Law". The Vatican. 1983.
Canon 376: Bishops to whom the care of some diocese is entrusted are called diocesan; others are called titular.
- ↑ Kiminas, Demetrius (2009). The Ecumenical Patriarchate: A History of Its Metropolitanates with Annotated Hierarch Catalogs. Wildside Press LLC. ISBN 9781434458766.
- ↑ http://www.gcatholic.org/dioceses/data/titular-A.htm List of all titular sees by GCatholic.org
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbojina kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |