Nenda kwa yaliyomo

GMM Grammy

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Logo yake.

GMM Grammy Public Company Limited (kwa Kithai: จีเอ็มเอ็ม แกรมมี่ au G"MM' Grammy) ndio kampuni kubwa ya burudani nchini Thailand. Inadai kuwa na asilimia 70 ya tasnia ya burudani ya Thailand.

Wasanii wa Grammy ni pamoja na Thongchai McIntyre, Silly Fools na Loso.

Mbali na biashara yake ya muziki, kampuni hiyo inahusika katika utengenezaji wa tamasha, usimamizi wa wasanii, filamu na televisheni na uchapishaji.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu GMM Grammy kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.