Foday Musa Suso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Foday Musa Suso ndani ya 2017
Foday Musa Suso ndani ya 2017

Foday Musa Suso (alizaliwa 9 Desemba, 1953, [1]) ni mwanamuziki na mtunzi wa nyimbo wa nchini Gambia. Kabila lake ni Mandinka. [1]

Orodha ya kazi za muziki[hariri | hariri chanzo]

  • 1970 - Kora Music from Gambia (Folkways)
  • 1979 - Mandingo Griot Society: Mandingo Griot Society ( Flying Fish ) [2]
  • 1982 - Mandingo Griot Society: Mighty Rhythm (Flying Fish [2]
  • 1984 - Hand Power (Flying Fish
  • 1984 - Mandingo Featuring Foday Musa Suso: Watto Sitta (Celluloid), produced by Bill Laswell [2]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 (1992) The Guinness Encyclopedia of Popular Music, First, Guinness Publishing, 2424. ISBN 0-85112-939-0. 
  2. 2.0 2.1 2.2 Guthartz, Jason (July 7, 2013). Hamid Drake Discography. Restructures.net. Jalada kutoka ya awali juu ya 2022-12-03. Iliwekwa mnamo September 25, 2017.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Foday Musa Suso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.