Nenda kwa yaliyomo

Flanani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Flanani (pia: Flannán, Flannanus) alikuwa mmonaki hodari wa karne ya 7[1] ambaye alipata kuwa askofu wa Killaloe nchini Ireland akahubiri hadi Uskoti[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Desemba[3][4].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Ware, James (1639). "Cap. XIII: De biographis ætatis incertæ". De scriptoribvs Hiberniæ (kwa Kilatini). Juz. la Liber primus. Dublin: Societatis Bibliopolarum. uk. 91.
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/82070
  3. Martyrologium Romanum
  4. "St. Flannan - Saints & Angels". Catholic Online (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-02.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.