First Between 3rd and 4th

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

First Between 3rd and 4th ni EP [1] iliyotolewa kwa kujitegemea mnamo Julai 2004 na mwimbaji/mtunzi Joshua Radin.[2]

Muhtasari[hariri | hariri chanzo]

Wimbo wake wa kwanza ni "Winter", wimbo ambao kupitia kwa rafiki wa Radin, Zach Braff uliingia katika kipindi cha televisheni cha Braff Scrubs mapema 2004.;[3] matokeo yake katika utangazaji yalisababisha EP yake kutolewa.[2]

Nyimbo zake mbili "Winter" na "Today" ziliachiwa kwnye albamu ya Radin ya 2006 We Were Here. EP pia ina toleo la jalada la "Girlfriend In A Coma", 1987 ya The Smiths.

Orodha ya Nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Nyimbo zote ziliandikwa na Joshua Radin isipokuwa "Girlfriend In A Coma" ikiandikwa na Johnny Marr na Morissey

  1. "Winter" - 3:28
  2. "Girlfriend In A Coma" - 2:49
  3. "Don't Look Away" - 3:37
  4. "Today" - 3:37
  5. "The One You Knew" - 3:01
  6. "Do You Wanna" - 2:43

Wafanyakazi[hariri | hariri chanzo]

  • Joshua Radin - Gitaa, Vocal
  • Chad Fisher - Ngoma,Mguso ,Kinanda, Kibodi, Mtayarishaji mwenza, uhandisi wa sauti, mchanganya sauti
  • Cary Brothers - Gitaa,Mtayarishaji mwenza
  • Jason Kanakis - Gitaa, bezi
  • Bonnie Somerville - Sauti(Vocals)
  • John Krovosa - violini
  • Gabrielle Gewirtz - Graphics Design
  • Zach Braff - Picha

Maarufu[hariri | hariri chanzo]

  • Nyimbo "Winter"
  • Nyimbo "Today"
  • Nyimbo "Don't Look Away"
  • Nyimbo "The One You Knew"

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. EP ni ndefu kuliko muziki mmoja lakini fupi kuliko albamu. Kwa kawaida huwa na nyimbo 2-5 na urefu wa chini ya dakika 30
  2. 2.0 2.1 "'Unclear Sky,' the New 4 Song Collection from Singer-Songwriter Joshua Radin, to be Released as an iTunes Exclusive on Tuesday, February 12". PR Newswire. February 1, 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo March 14, 2012. Iliwekwa mnamo 2010-01-14. ...Joshua Radin released his first indie EP (now out-of-print and highly collectible), First Between 3rd and 4th, in July 2004.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |date=, |archivedate= (help)
  3. Kigezo:AllMusic
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu First Between 3rd and 4th kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.