Nenda kwa yaliyomo

Fereoli wa Limoges

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Fereoli wa Limoges (kwa Kifaransa: Ferréol[1]; alifariki Limoges, leo nchini Ufaransa, 591/597) alikuwa askofu wa mji huo aliyetuliza umati usimuue afisa wa mfalme Sidebati aliyetumwa kudai kodi [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Septemba[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.