Fantino Kijana

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Fantino (kulia).

Fantino Kijana (Palmi, Italia Kusini, 927 - Thesalonike, Ugiriki, 1000 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki tangu utotoni [1] lakini pia mkaapweke aliyejimaliza kwa kufunga, kukesha na kuwajibika kwa ajili ya Kristo [2].

Hatimaye alikwenda kuinjilisha Ugiriki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Saint of the Day, August 30: Fantinus of Calabria SaintPatrickDC.org. Retrieved 2012-03-18.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90673
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Enrica Follieri, La vita di San Fantino il Giovane: introduzione, testo greco, traduzione, commentario e indici, Bruxelles, Société des Bollandistes, 1993, p. 626, ISBN 978-2-87365-005-6.
  • N. Ferrante, Santi Italogreci – il mondo religioso bizantino in Calabria, Reggio Calabria, Rexodes Magna Grecia, 1999, pp. 71-76, ISBN 88-89063-02-5.
  • D. Minuto, Profili di Santi Nella Calabria Bizantina, Reggio Calabria, Pontari, 2002, ISBN 88-86046-18-9.

Antonio Scordino, La chiesa veneziana di San Fantino il Calabrese, in Brutium, anno LXX, n. 1-2, 1991, pp. 10-11.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.