Elias John Kwandikwa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Elias John Kwandikwa ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ushetu kwa miaka 20152020 [1] akarudishwa mwaka 2020 na kuteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi[2].


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

[3]

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. Magufuli’s unveils his cabinet 30 days after taking oath (en).
  3. https://peoplepill.com/people/elias-kwandikwa/