Nenda kwa yaliyomo

Mhanganungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Ekidna)
Mhanganungu
Mhanganungu pua-ndefu magharibi (Zaglossus bruijni)
Mhanganungu pua-ndefu magharibi (Zaglossus bruijni)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Monotremata (Mamalia wanaotaga mayai kupitia tundu pekee nyuma (kloaka))
Nusuoda: Tachyglossa (Wanyama kama wahanganungu)
Familia: Tachyglossidae
Gill, 1872
Ngazi za chini

Jenasi 2, spishi 4:

Wahanganungu au ekidna ni wanyama wa familia Tachyglossidae katika oda Monotremata wanaofanana na kalunguyeye. Wanatokea Australia na Nyugini. Wanyama hawa pamoja na kinyamadege ni mamalia pekee wanaobaki ambao bado wanataga mayai. Lakini kinyume na wanyama wengine wanaotaga mayai, wananyonyesha watoto wao.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mhanganungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.