Dhul Hijjah (mwezi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Dhu- Hijjah ( ذو الحجة ) ni mwezi wa kumi na mbili pia mwezi wa mwisho katika kalenda ya Kiislamu.

Katika maisha ya kidini ni mwezi mtakatifu. Ni mwisho wa mwaka wa Kiislamu pia mwezi wa kuhijji kwenda Makka.

Mwezi huu Waislamu wa nchi zote hukutana hasa Makka kwenye Hajj. Matendo makuu ya Hajj hutokea tar. 8,9 na 10 za mwezi huu.