Dennis Hennig

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Dennis Hennig (28 Februari 1951- 17 Januari 1993) alikuwa mpiga piano wa Australia.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Katika miaka yake ya awali alikuwa mmoja wa wanachama katika kikundi cha The Australian Ballet alipokuwa akifanya mazoezi ya kupiga piano. Baadaye alianza kushiriki katika matamasha ya muziki wa laivu kama ya Signatures, An Evening, Seven Deadly Sins pamoja na Nearly Beloved.[1] pia amefundisha katika shule ya muziki ya Sydney Conservatorium of Music.[2]

Kifo[hariri | hariri chanzo]

Dennis Hennig alifariki kwa virusi vya Ukimwi [3] akiwa na umri wa miaka 41 mwaka 1993. Nishani yake ya heshima ilitolewa katika mashindano ya Sydney International Piano Competition.[4]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. QPAC: Grand. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-12. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
  2. Macarthur Singers: Kelvin Russell. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-27. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
  3. Music Web International
  4. SIPCA 2008. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-11-21. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dennis Hennig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.