Nenda kwa yaliyomo

Darkhan Assadilov

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Darkhan Assadilov (aliyevaa mkanda nyekundu) mnamo 2018
Darkhan Assadilov (aliyevaa mkanda nyekundu) mnamo 2018

Darkhan Assadilov (alizaliwa 8 Agosti 1987[1]) ni mwanamichezo wa karate kutoka nchini Kazakhstani . Alishinda miongoni mwa medali moja ya shaba kwa wenye uzito wa kilogramu 67 kwa wanaume, kwenye mashindano ya olimpiki ya majira ya joto huko Tokyo, Japan[2]. Mnamo mwaka 2010, alishinda medali ya dhahabu katika mashindano ya kumite kwa wanaume wenye uzito wa kilogramu 60 katika michezo iliyofanyika katika bara la Asia 2010 huko Guangzhou, China.

Pia ni mshindi mara mbili wa medali katika michuano ya dunia ya Karate.

  1. "Olympic Council of Asia". www.ocagames.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-09-02. Iliwekwa mnamo 2021-12-03.
  2. "Sánchez the history-maker as karate makes highly-anticipated Olympic debut". www.insidethegames.biz. 1628172600. Iliwekwa mnamo 2021-12-03. {{cite web}}: Check date values in: |date= (help)