Nenda kwa yaliyomo

Danieli wa Bangor

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake katika kanisa kuu lenye jina lake huko Bangor[1].

Danieli wa Bangor (pia: Deiniol, Denoual; alifariki kisiwa cha Bardsey, Welisi, 572 hivi) alikuwa mmonaki, halafu abati mwanzilishi na askofu wa Bangor[2] [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Septemba.[4]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • S. Baring-Gould and John Fisher. (1908). The Lives of British Saints
  • C.J. Clark. The Saints of Wales and Cornwall and such Irish Saints as have dedications in Britain

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]