Nenda kwa yaliyomo

Daniel Ferreira do Nascimento

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Daniel Ferreira do Nascimento “Danielzinho” (alizaliwa Julai 28 1998) ni mkimbiaji wa mbio ndefu wa Brazil.[1]

Mwaka 2020 alishiriki michuano ya riadha ya nusu marathoni duniani huko Gdynia ambapo alikimbia kwa ubora wake wa 1:04:27 kwenye nusu marathoni.[2]

Desemba 2020 alishinda mita 10,000 akamaliza wa 3 kwenye mita 5000 kwenye michuano ya Brazil kwenye uwanja wa  COPT huko São Paulo.[3]

Alichaguliwa kuiwakilisha Brazil kwenye michuano ya michezo olimpiki ya Tokyo 2020 iliyochelewa kwenye marathoni baada ya kukidhi vigezo vya kufuzu marathoni yake ya kwanza, akishinda mashindano ya“The Bicentennial of Peru” huko Lima,Mei 23 kwa muda wa saa 2 dakika 9 na sekunde 4. Mei 29, chini ya wiki moja baada ya kupata vigezo vya olimpiki Danielzinho kama anavyojulikana, alishinda mita 10,000 kwenye michuano ya Amerika kusini huko Guayaquil, Ecuador.[4]

Ubora wake

[hariri | hariri chanzo]

Nje

·        Mita1500  – 3:46.85 (Campinas 2018)

·        Mita 5000  – 14:17.07 (São Paulo 2020)

·        Mita 10000 – 29:13.34 (Sao Bernardo do Campo 2017)

·        Nusu marathoni – 1:04:27 (Gdynia 2020)

·        Marathoni – 2:09:05 (Lima 2021)

  1. Nascimento Junior, Daniel Rodrigues do, Evolução sedimentar holocênica do delta do rio Tubarão, Estado de Santa Catarina, Universidade de Sao Paulo, Agencia USP de Gestao da Informacao Academica (AGUIA), iliwekwa mnamo 2021-10-08
  2. Hanley, Brian (2014-12-06). "Pacing profiles and pack running at the IAAF World Half Marathon Championships". Journal of Sports Sciences. 33 (11): 1189–1195. doi:10.1080/02640414.2014.988742. ISSN 0264-0414.
  3. Machado, Jhonatan Marques, Impacto da pandemia da Covid 19 no Troféu Brasil de Atletismo, Universidade Federal de Juiz de Fora, iliwekwa mnamo 2021-10-08
  4. Kornei, Katherine (2019-01-18). "Next Olympics Marathon Course Has Dangerous "Hot Spots" for Spectators". Eos. 100. doi:10.1029/2019eo114171. ISSN 2324-9250.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Ferreira do Nascimento kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.