Gdynia
Mandhari
Gdynia (kwa lugha ya Kipolandi; kwa Kijerumani: Gdingen) ni mji wa Polandi wenye bandari katika Bahari ya Baltiki.
Mji huo ulikuwa na wakazi 247,799 mnamo Juni 2018.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Gdynia Port - Home for all Polish Ocean Liners
- Gdynia city website
- Virtual tour on Gdynia's coast
- Gdynia tourist guide Ilihifadhiwa 25 Aprili 2019 kwenye Wayback Machine.
- Gdynia Tripadvisor
54°30′N 18°33′E / 54.500°N 18.550°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Poland bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Gdynia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |