Comfort Annor
Mandhari
Comfort Annon (1949 – 22 Februari, 2015) alikuwa mwanamuziki wa nchini Ghana aliyejulikana kwa sauti yake ya kipekee ya uimbaji. [1] [2]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Comfort Annon pia alijulikana kama Ama Otu Bea alikuwa Shemasi wa kanisa la Pentekoste na alikua anatokea Kasoa Bawjiase katika Mkoa wa Kati wa Ghana ..Comfort alikuwa na watoto saba. [3]
Alifariki manmo 22 Februari mwaka 2015 katika eneo la Okomfo Anokye akiwa na umri wa miaka 66. [4] [5] [6] Ingawa chanzo cha kifo chake hakijajulikana, inasemekana alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya ini na figo tangu Oktoba mwaka 2014 alipougua. [7]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Online, Peace FM. "Veteran Gospel Musician Comfort Annor Cries For Help!...Kidney And Liver Almost Gone". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-06. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ Myjoyonline.com. "Ghana News - Veteran gospel musician Comfort Annor has died". www.myjoyonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-07-24. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ Online, Peace FM. "Comfort Annor To Be Buried On May 30". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-06. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ adomonline.com. "Ghana News - Veteran musician Comfort Annor is dead". www.ghana-news.adomonline.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-17. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ "OBITUARY: Gospel musician Comfort Annor DEAD| ENewsGh". Proudly Ghanaian! | ENewsGh. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-09-18. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ Online, Peace FM. "Comfort Annor To Be Buried On May 30". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-10-06. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
- ↑ "Ghanaian Gospel Musician Comfort Annor Has Died". AfricanSeer.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-08-09. Iliwekwa mnamo 2016-08-08.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Comfort Annor kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |