Claudio Bravo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Claudio Bravo.

Claudio Andrés Bravo (alizaliwa 13 Aprili 1983) ni mchezaji wa soka wa Chile ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Chile.

Alianza kazi yake na Colo-Colo na alihamia Real Sociedad mwaka 2006, alionekana katika michezo 237 na klabu hiyo, Barcelona ilimsajili Bravo kwa milioni 12 mwaka 2014 alichezea Barcelona kwa miaka miwili. Katika majira ya baridi ya 2016, alihamia Manchester City.

Bravo ni mchezaji wa pili wa Chile kwa kofia za mchezaji bora wa chile muda wote baada ya Alexis Sanchez, ana maonyesho zaidi ya 115 tangu mwanzo wake mwaka 2004.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claudio Bravo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.