Christian Luyindama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Christian Luyindama Nekadio (alizaliwa 8 Januari 1994), ni mchezaji wa soka wa DR Congo, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Uturuki iitwayo Galatasaray.

Luyindama ni mchezaji mchanganyiko, ambaye pia anaweza kucheza kama kiungo mkabaji au mshambuliaji.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Luyindama kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.