Chang'aa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Changa'aa ni pombe ya gongo, ambayo nchini Kenya ni maarufu kwa jina la chang'aa. Kutokana na ukali wake, ni kinyume cha sheria kutengeneza, kuiuza au kuitumia. Pombe hii hutengenezwa na mchanganyiko wa mapapai yaliyooza, amira, sukari aina ya 'molasses', na maji.

Blank template.svg Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chang'aa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.