Majadiliano:Chang'aa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kwa nini marufuku?[hariri chanzo]

Sidhani ya kwamba changaa ni marufuku kwa sababu ya ukali wake. Kama karibu kila nchi ya dunia pombe ni chini ya usimamizi wa serikali; hasa haki ya kutengeneza pombe kali ni mkononi mwa serikali (kwa sababu za kiafya pia ya kifedha) na kibali zatolewa tu kufuatana na sheria na karibu kila mahali sheria zachapa kodi kali kwa pombe. Hivyo kosa la changaa ni inatengenezwa bila kibali cha serikali pia bila usimamizi wa kiafya halafu serikali haipokei kodi zake. Mnaonaje?? --172.174.242.199 23:35, 21 Agosti 2007 (UTC)[reply]