Gunia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngano ndani ya gunia.

Gunia (kutoka neno la Kihindi) ni mfuko mkubwa unaotengenezwa kwa nyuzi za katani au kwa kitambaa unaotumiwa kutilia vitu kama vile mahindi, mchele, sukari na vitunguu.