Buziku

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Buziku ni kata ya Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita, Tanzania.

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,757 waishio humo.[1] Msimbo wa posta ni 30314.

Buziku inasifika kwa mazao ya pamba, mpunga, mahindi na pia mzunguko wa biashara, hasa eneo maarufu liitwalo Mererani mkabala na soko kuu la Buziku.

Kuna parokia ya Kanisa Katoliki, Jimbo la Rulenge-Ngara.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bukome | Buseresere | Butengorumasa | Buziku | Bwanga | Bwera | Bwina | Bwongera | Chato | Ichwankima | Ilemela | Ilyamchele | Iparamasa | Kachwamba | Kasenga | Katende | Kigongo | Makurugusi | Minkoto | Muganza | Muungano | Nyamirembe | Nyarutembo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.