Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara
Mandhari
Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara (kwa Kilatini "Dioecesis Rulengensis-Ngaraensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.
Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza.
Askofu wake ni Severine Niwemugizi.
Historia
[hariri | hariri chanzo]- 1929: Kuanzishwa kwa Apostolic Vicariate ya Rulenge-Ngara kutokana na Apostolic Vicariate ya Tabora
- 25 Machi 1953: Kufanywa dayosisi
Uongozi
[hariri | hariri chanzo]- Maaskofu wa Rulenge-Ngara
- Severine Niwemugizi (since 1996)
- Christopher Mwoleka (1969 – 1996)
- Alfred Lanctôt MAfr (1953 – 1969)
- Vicar Apostolic wa Rulenge-Ngara
- Alfred Lanctôt MAfr (1951 – 1953)
- Laurent Tétrault MAfr (1947 – 1951)
- Burkhard Huwiler MAfr (1929 – 1946)
Takwimu
[hariri | hariri chanzo]Eneo ni la kilometa mraba 13,004, ambapo kati ya wakazi 767,359 (2006) Wakatoliki ni 344,054 (44.8%).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Padre Joseph B. Kalem'imana, Wilaya ya Ngara 1600-1960 - Historia, Utawale, Uchumi na Utamaduni, Mkuki wa Nyota, Dar es Salaam, 2023, ISBN 978-9987-449-32-3, kur. 137-145
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |