Bwanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bwanga ni kata ya Wilaya ya Chato katika Mkoa wa Geita, Tanzania. Msimbo wa posta ni 30312.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 69,894 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 36,763 waishio humo.[2]

Makabila yenye uenyeji Bwanga ni Waha wenye asili ya Kihutu yaani Waha wa Kibondo na Wasukuma ambao miongoni mwao baadhi wana asili ya Kinyarwanda.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Kata za Wilaya ya Chato - Mkoa wa Geita - Tanzania

Bukome | Buseresere | Butengorumasa | Buziku | Bwanga | Bwera | Bwina | Bwongera | Chato | Ichwankima | Ilemela | Ilyamchele | Iparamasa | Kachwamba | Kasenga | Katende | Kigongo | Makurugusi | Minkoto | Muganza | Muungano | Nyamirembe | Nyarutembo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Geita bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.