Bimbo Akintola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bimbo Akintola
Bimbo Akintola.png
Amezaliwa 5 Mei 1970 (1970-05-05) (umri 52)
Nigeria
Kazi yake Muigizaji
Miaka ya kazi 1995 - hadi leo

Bimbo Akintola alizaliwa tarehe 5 Mei mwaka 1970[1]) ni mwigizaji wa filamu wa Nigeria.[2][3][4][5]

Maisha ya awali na elimu[hariri | hariri chanzo]

Babayake anatoka katika jimbo la Oyo na mama yake anatokea jimbo la Edo. Alipata elimu ya msingi katika shule ya Maryland Convent Private School iliyopo Lagos, na elimu ya upili katika shule ya Command Day Secondary School, Lagos. Baadaye alipata shahada ya sanaa katika chuo kikuu cha Ibadan.[6][7]

Taaluma[hariri | hariri chanzo]

Akintola alianza kuonekana katika filamu akiigiza katika filamu ya OWO BLOW ya mwaka 1995 akiwa na Femi Adebayo na baadaye akionekana pia katika filamu ya Out of Bounds ya mwaka 1997

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "30 Nigerian entertainers presently in the league of 40s", 9 December 2015. Retrieved on 2020-11-09. Archived from the original on 2016-04-30. 
  2. Bimbo Akintola, Toyin Oshinaike in troubled union. punchng.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 14 August 2014. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
  3. Bimbo Akintola, Falode canvass support for working mothers. punchng.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 14 August 2014. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
  4. Age is no barrier to marriage – Bimbo Akintola. punchng.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 14 August 2014. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
  5. Bimbo Akintola cries out: I don’t need a husband!. vanguardngr.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
  6. Bimbo Akintola Biography. gistus.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
  7. Why I Am Not Yet Married at 42..Bimbo Akintola. cknnigeria.com. Iliwekwa mnamo 13 August 2014.
Biofilm.png Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bimbo Akintola kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.