Bernd Leno

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Leno akiwa amedaka mpira.

Bernd Leno (alizaliwa 4 Machi 1992) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal na timu ya taifa ya Ujerumani.

Mnamo Mei 2011, Leno alisaini mkataba wake wa kwanza na VfB Stuttgart hadi Juni 2014, baada ya hapo alikwenda Bayer leverkusen, na baada ya miaka miwili alihamia Arsenal.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bernd Leno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.