Nenda kwa yaliyomo

Bayer 04 Leverkusen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa timu ya Bayer 04 Leverkusen

Bayer 04 Leverkusen ni klabu iliyoanzishwa mwaka 1904 na wafanyakazi wa kampuni ya dawa ya Ujerumani Bayer, ambao makao makuu yake yako Leverkusen ambayo klabu hiyo inaitwa jina lake.

Ilikuwa ni idara inayojulikana zaidi ya TSV Bayer 04 Leverkusen, klabu ya michezo ambao wanachama wake pia wanahusika katika mpira wa kikapu na michezo mingine ikiwa ni pamoja na RTHC Bayer Leverkusen (tenisi na hockey).

Mwaka 1999 idara ya mpira wa miguu ilitenganishwa na klabu ya michezo na sasa ni taasisi tofauti inayoitwa Bayer 04 Leverkusen.

Bayer Leverkusen imeshinda DFB-Pokal moja na Kombe la UEFA moja.Wapinzani wao wa ndani ni FC Köln.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Bayer 04 Leverkusen kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.