Leverkusen
Mandhari

| Leverkusen | |
Bendera |
Nembo |
|
Mahali pa mji wa Leverkusen katika Ujerumani |
|
| Majiranukta: 51°02′0″N 6°59′0″E / 51.03333°N 6.98333°E | |
| Nchi | Ujerumani |
|---|---|
| Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia |
| Idadi ya wakazi (2009) | |
| - Wakazi kwa ujumla | 160,593 |
| Tovuti: www.leverkusen.de | |
Leverkusen ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 160,593.
Usafiri
[hariri | hariri chanzo]Kuna huduma za treni za mkoani (S-Bahn) na treni za eneo (RB na RE), pia Treni za mji Köln ina kituo mpaka wa Köln na Leverkusen, kinaitwa "Leverkusen-Schlebusch.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Leverkusen.com (Kijerumani) (Kiingereza) (Kifaransa) (Kiitalia) (Kipoland) (Kiromania)
- Bayer 04 Leverkusen (Kijerumani) (Kiingereza)
| Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Leverkusen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
