Bahati (mwimbaji)
Mandhari
Kevin Bahati | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Kevin Mbuvi Kioko |
Amezaliwa | Desemba 22 1994 |
Asili yake | Nairobi , Kenya |
Aina ya muziki | alikuwa akiimba Nyimbo za Kiinjili |
Kazi yake | Mwimbaji |
Aina ya sauti | Piano |
Miaka ya kazi | 2013–mpaka sasa |
Studio | E.M.B Records |
Tovuti | www.bahatikenya.co.ke |
Bahati (jina halisi: "Kevin Mbuvi Kioko"; alizaliwa 22 Desemba 1994) ni mwimbaji na mwanamuziki wa nyimbo za Kiinjili na za kidini kutoka Kenya, lakini sasa anaimba nyimbo za kidunia.
Bahati alianza muziki mwaka wa 2013, alipotoa wimbo maarufu uitwao Siku ya Kwanza.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bahati (mwimbaji) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |