Bahati (Mwimbaji)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kevin Bahati
Jina la kuzaliwa Kevin Mbuvi Kioko
Amezaliwa Desemba 22 1994 (1994-12-22) (umri 25)
Asili yake Nairobi , Kenya
Aina ya muziki Nyimbo za Kiinjili
Kazi yake Mwimbaji
Aina ya sauti Piano
Miaka ya kazi 2013–mpaka sasa
Studio E.M.B Records
Tovuti www.bahatikenya.co.ke

Kevin Bahati (jina halisi "Kevin Mbuvi Kioko"; alizaliwa 22 Desemba 1994) anafahamika zaidi kwa jina "Bahati" ni mwimbaji na mwanamuziki wa nyimbo za Kiinjili na kidini kutoka Kenya.

Bahati alianza muziki mwaka wa 2013, alipotoa wimbo maarufu uitwao Siku ya Kwanza.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]