Baba Rahman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Baba Rahman
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaGhana Hariri
Nchi anayoitumikiaGhana Hariri
Jina katika lugha mamaAbdul Rahman Baba Hariri
Jina halisiAbdur Rahman Hariri
Jina la familiaBaba Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa2 Julai 1994 Hariri
Mahali alipozaliwaTamale Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Kidagbani Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timufullback, centre-back Hariri
Muda wa kazi2012 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji6 Hariri
Ameshiriki2015 Africa Cup of Nations, 2017 Africa Cup of Nations, 2019 Africa Cup of Nations Hariri

Abdul Rahman Baba (anajulikana kama Baba Rahman; alizaliwa 2 Julai 1994) ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama beki wa kushoto kwa Ligue 1 akiwa na klabu ya Reims, kwa mkopo kutoka katika klabu ya Chelsea F.C. ya Ligi Kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Ghana.

Kazi ya klabu[hariri | hariri chanzo]

Alianza kazi yake katika klabu ya Dreams FC, alicheza katika Ligi Kuu ya Ghana na klabu ya Asante Kotoko.

Mnamo mwaka 2012, alijiunga na klabu ya Bundesliga Greuther Fürth, ambako alicheza takribani misimu miwili. Kisha akaenda katika klabu ya FC Augsburg kabla ya kujiunga na klabu ya Chelsea mwaka 2015 kwa ada ya £ 14,000,000.

Kazi ya kimataifa[hariri | hariri chanzo]

Rahman alicheza mechi yake ya kwanza ya kimataifa mwaka 2014 na alikuwa sehemu ya kikosi chao ambacho walikuwa washindi wa pili katika Kombe la Mataifa ya Afrika ya mwaka 2015.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baba Rahman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.