Kidagbani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kidagbani ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wadagbani. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kidagbani imehesabiwa kuwa watu 800,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidagbani iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kidagbani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.