Ascension

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Georgetown ni kitovu cha kisiwa.

Ascension ni kisiwa chenye asili ya volikano kilichoko kusini kidogo kwa ikweta, katika Bahari ya Atlantiki, kilomita 1,600 hivi kutoka Afrika na 2,300 hivi kutoka Amerika Kusini (Brazil).

Wakazi wote ni 806 tu (sensa ya mwaka 2016).

Kiutawala kiko chini ya koloni la Saint Helena[1], ambalo liko chini ya Ufalme wa Muungano.

Jina lilitokana na sherehe ya Kupaa Bwana, ambayo ndiyo siku ya mwaka 1501 kisiwa kilipoonekana kwa mara ya kwanza.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:

Wikivoyage-Logo-v3-icon.svg Ascension travel guide kutoka Wikisafiri

Taarifa na serikali[hariri | hariri chanzo]

Historia na Jiografia[hariri | hariri chanzo]

Taasisi[hariri | hariri chanzo]

Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ascension kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.