Anouman Brou Félix

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Anouman Brou Félix
Amezaliwa 5 Februari 1935
Adzopé
Nchi Ivory Coast
Kazi yake mpiga gitaa na alikua mtengeneza mavazi kabla ya gitaa

Anouman Brou Félix (5 Februari 1935 - 3 Oktoba 2021) alikuwa mpiga gitaa wa nchini Ivory Coast.[1] Alikuwa mmoja wa waanzilishi wa muziki wa Attie na akaunda ngoma ya Wamy mnamo 1970.[2]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Mzaliwa wa Adzopé 1935, wazazi wa Félix walifariki 1946. Aliondoka kuelekea Abidjan ambako aligundua utengenezaji wa mavazi kabla ya kujifunza gitaa.[1] Katika miaka ya 1960, alianzisha kikundi cha Ivoiry Band na kuanzisha ngoma Wamy akiwa Ufaransa.[3]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anouman Brou Félix kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.