Nenda kwa yaliyomo

Anna Maria Taigi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwenye heri Anna Maria Taigi.

Anna Maria Taigi (29 Mei 17699 Juni 1837) alikuwa mama Mkristo wa Kanisa Katoliki mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Watrinitari. [1][2]

Taigi inasemekana alipitia mfululizo wa hali ya kushangaza (kutoka nje ya nafsi) katika maisha yake na alisikia sauti za Mungu na Yesu Kristo mara kadhaa.

Tarehe 30 Mei 1920 Papa Benedikto XV alimtangaza mwenye heri.

  1. "Ven. Anna Maria Gesualda Antonia Taigi". The Catholic Encyclopedia. 1912. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Blessed Anna Maria Taigi (1769-1837) - Wife, Mother and Mystic". Mystics of the Church. 2009. Iliwekwa mnamo 1 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.