Nyembelele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Andropadus)
Jump to navigation Jump to search
Nyembelele
Nyembelele tumbo-njano
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Sylvioidea (Ndege kama kucha)
Familia: Pycnonotidae (Ndege walio na mnasaba na shore)
Jenasi: Andropadus Swainson, 1832

Atimastillas Oberholser, 1905
Arizelocichla Oberholser, 1905
Baeopogon Heine, 1860
Calyptocichla Oberholser, 1905
Chlorocichla Sharpe, 1882
Eurillas Oberholser, 1899
Ixonotus J. Verreaux & E. Verreaux, 1851
Neolestes Cabanis, 1875
Stelgidillas Oberholser, 1899

Nyembelele ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Pycnonotidae. Wanafanana na shore waliomo katika takriban kila bustani, lakini wana rangi ya zaituni juu na nyeupe, kijivu au njano chini. Korogoto ni ndege wengine katika familia hii. Wanatokea misitu na maeneo mengine yenye miti katika Afrika kusini kwa Sahara. Hula matunda na mbegu hasa lakini wadudu pia. Tago lao hujengwa mtini na jike huyataga mayai 2-5.

Spishi[hariri | hariri chanzo]

Picha[hariri | hariri chanzo]